RAIS HUSSEIN MWINYI ATENGUA UTEUZI WA WAKURUGENZI 7

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua Uteuzi wa Wakurugenzi wafuatao kuanzia leo tarehe 10 Julai, 2021:-

Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto:
1) Dkt. Fadhil Mohammed Abdulla Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya.
2) Ndugu Ramadhan Khamis Juma, Mkurugenzi wa Utumishi na Uendeshaji. 

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ:
1) Ndugu Ali Abdalla Said Natepe, Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Magharibi “B”.
2) Ndugu Makame Mwadini Silima, Mkurugenzi wa Baraza la Mji Kaskazini "B".
3) Ndugu Muhamed Salum Muhamed, Mkurugenzi wa Baraza la Mji Kati.
4) Ndugu Kassim Mtoro Abu, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kusini, Unguja.

Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda:
1) Ndugu Abdulhamid Idrissa Haji, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Viwanda Vidogo Vidogo na vya Kati (SMIDA).

No comments