NINAWEZAJE KUJUA MAPENZI YA MUNGU KATIKA KUCHAGUA MWENZI WA MAISHA?
Ninawezaje kujua mapenzi ya Mungu katika kuchagua mwenzi wa maisha?
Mwanasayansi mkubwa aitwaye Albert Einstein aliwahi kusema “Nataka kujua mawazo ya Mungu.” Katika kufuatilia kwake Nadharia ya Fizikia(theoretical physics) aligundua nadharia iitwayo Relativity , yenye kanuni hii E=MxCxC [ E: nishati , M: uzito & C: kasi ya mwanga ]. Mwasayansi huyu hakuweza kuyajua mmawazo ya Mungu. Swala la dini yake ni tata . Baadhi ya watafiti wanadai alikuwa Gnostic. Point ni kwamba , hatuwezi kuyajua mawazo na njia za Mungu kikamilifu , sio kwa sababu anapenda kutuficha ila ni kwa sababu ya ukomo na uwezo wetu mdogo.Tunafahamu kuwa Mungu anatuwazia mema , tunafahamu pia Biblia ni mapenzi ya Mungu yaliyofunuliwa kwetu.[Isa 55:8 ; Jere 29:11]. Hivyo , tutazame ndani ya mapenzi ya Mungu yaliyofunuliwa kuona nini kimefunuliwa kuhusu kuchagua mwenzi wa maisha. Naamini hii itajibu swali tulilouliza.
KUHARAKISHA (Prov 19:2 ; 29:20) Mwaka 2017 , nilikutana Kwizera , muinjilist kutoka Rwanda , wakati tukizungumza baada ya ibada Mwenge S.D.A.C aliniambia “ Usikimbie kuliko malaika wako awezavyo kupaa.” Jiulize ; je, ninaharakisha mambo? Je, ninafanya maamuzi kwa pupa/papara? IMANI (2Cor 6:14 ;Amo 3:3) Je, Imani zetu na viwango vya maadili ni sawa? Je, nimeamua kufumbia macho tofauti zetu kiimani & viwngo vya maadili ? Hivi , ninaamini kuwa upendo wangu utamuongoa? Nini kinaongoa upendo wa mwanadamu au upendo wa kimungu? BIDII & NIDHAMU YA KAZI ( Mith12:24,27 ;22:29 ; 31:10…) Je, ninafurahia/anafurahia kazi/kujishughulisha? Je, mwenzangu ni mwajibikaji na mwenye bidi au yupoyupo na mzembe? Je, kunachochote anachojishughulisha nacho kupata kipato?. KUTAFUTA MASHAURI (Mith 11:14) Je, upendo wangu ni mpofu na kiziwi? Je, ninakubaliana na ukweli kwamba kwamba kuna wakati ambapo upendo wangu waweza kupotoza utambuzi wangu? Ninawezaje kuahusisha wacha-Mungu wengine katika kutata utambuzi yakini wa mwenzi wa maisha? Ninawezaje kufanya maamuzi mimi mwenyewe baada ya mashauri? UPENDO WA KWELI (1Kor 13:4-8) Katika jitihada zangu za kutafuta mwenzi, ninawezaje kuishi kwa kanuni hizi? TAMAA (Ayu 31:1,26-28; Mith :25) Je, hisia zangu kumhusu ni safi? Hivi, ningetamani mambo tuyafanyayo pamoja sirini yarekodiwe na malaika wema? Je, ninaona hitaji langu- Mungu kunisafisha mawazo yangu kkatika jambo hili? TABIA & UZURI: Kumbuka somo la nyuma GONJWA LA KUJISHUKU , Je, nimemkubali mwenzangu kwa ujumla wake au kimuonekano tu? Hivi, utajisikia vizuri kama ukigundua mwenzio amelevywa na muonekano watu tu na ameishia hapo? MCHA –MUNGU : Mahusiano haya yananisogeza karibu na Mungu? Au yananitenga na Mungu? Je, ninasumbuliwa na hatia ya jinsi ninavyoendesha mahusiano yangu? FURAHA : Nina furaha katika mahusiano haya? Je, ninalazimishwa / kutishiwa kwa namna Fulani katika mahusiano haya? Hivi, uhuru upo katika mahusiano haya? KUJALI WAZAZI (2Tim3:2,3): Mahusiano haya yatanifanya nipuuze wajibu wangu wa kuwahudumia wazazi wangu? MAOMBI (1Thes 5:17): Je, ninatambua jinsi nisivyojiweza(pasipo Mungu) katika mambo haya? Mpendwa! Omba! Omba!...sawa? Omba! Akili ya kuzaliwa haina akili katika mambo haya. KASORO: hivi, wewe ni mkamilifu? Yeye ni mkamilifu? Uchaguzi wa mwenzi wa maisha unahusisha by kuchagua kasoro. Je,kasoro zetu zinapatana?
PMC 360: 2021.
Ninamshukuru sana Dk dawn acuna, aliandika uchawi wa mapenzi ambao ulimrudisha mpenzi wangu wa zamani katika masaa 48, shukrani kwake, ikiwa una hali kama hiyo.
ReplyDelete*Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
*Kama unataka kupata mimba.
*Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
Ikiwa unataka kuponya aina yoyote ya ugonjwa. Na wengine,
Wasiliana naye yeye ndiye mtu sahihi wa kutatua tatizo hili.
Barua pepe: { dawnacuna314@gmail.com }
Whatsapp: +2348032246310
Baada ya kuona chapisho kwenye mtandao la Jenna kutoka USA akisema jinsi alivyosaidiwa na Dk. DAWN, niliamua pia kuwasiliana naye kwa msaada kwa sababu sikuwa na chaguo nilichotaka ni kumrudisha mpenzi wangu na furaha. Kwa mshangao mkubwa mpenzi wangu alifika nyumbani akiwa amepiga magoti kwamba nitafute nafasi moyoni mwangu kumsamehe, hakika nilistaajabu na kushtuka mpenzi wangu alipopiga magoti akiomba msamaha na mimi nimkubalie tena. Kweli nimepungukiwa na maneno, na sijui ni kiasi gani cha kukushukuru wewe Dr. DAWN. Wewe ni Mungu aliyetumwa kurejesha uhusiano uliovunjika, Na sasa mimi ni mwanamke mwenye furaha. mawasiliano yake ni Whatsapp +2349046229159
ReplyDeletedawnacuna314@gmail.com