MARA YA KWANZA KWA TIMU YA UINGEREZA KUINGIA FAINALI

Italia itachuana na England kwenye Uwanja wa Wembley huko London katika fainali ya Mashindano ya Uropa ya 2020 leo mida ya saa 10:00 PM kamili usiku.

Italia haijashinda Euro tangu 1968 lakini tangu Septemba 2018, Italy hawajawahi kupoteza dhidi ya England kwenye mchezo mkubwa kama huu.

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Timu ya Taifa ya England kuonekana kwenye fainali ya Euro na mara yao ya kwanza katika fainali ya mashindano makubwa tangu kushinda Kombe la Dunia mnamo 1966.

Nini utabiri wako kuelekea mechii hii, ni Italy au England? atachukua Kombe la #EURO2020?

No comments