KIGAILA ASEMA KATIBA HAIWEZI KUWA MATAKWA YA RAIS
Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mhe. Benson Kigaila amesema Katiba haiwezi kuwa matakwa ya Rais, kwamba iandikwe au isiandikwe.
Amesisitiza kuwa, Katiba inatakiwa kuwa matakwa ya Watanzania na Watanzania wameshaonyesha matakwa yao, ndio maana gharama kubwa imeshatumika kutengeneza Katiba.
Post a Comment