JAMES SOLAGES MBARONI KWA KUMUUA RAIS JOVENEL MOISE

James Solages, raia wa Marekani mwenye asili ya Haiti, ni miongoni mwa watu sita waliokamatwa hadi sasa katika mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moïse. 

Mamlaka yanaamini mtuhumiwa mwingine anaweza pia kuwa Mmarekani wa Haiti. 

Bado hawajatoa ushahidi wa kuhusika kwa washukiwa katika mauaji hayo, mpaka hivi sasa.

No comments