ITALY MABINGWA EURO2020

Timu ya Taifa ya Italia imeshinda ubingwa wa #EURO2020 baada ya kuifunga Uingereza jumla ya penati 3-2.

Timu hizo zilifikia hatua ya matuta baada kumaliza dakika 120 zikiwa zimefungana 1-1.

Italia imeshinda kombe hilo kwa mara ya pili baada ya kulichukua mwaka 1968, wakati Uingereza haijawahi kushinda tangu lianzishwe mwaka 1960.

No comments