Nchini India imerekodi kesi 45 za Covid-19, kwa siku moja kulingana na data iliyoshirikiwa na idara ya afya.
Aidha, takwimu rasmi imeongeza kuwa vifo vitatu vilitokea na vilirekodiwa huko Delhi-India jana Jumatatu 12/07/2021.
Waziri wa Afya wa Delhi ameongeza kuwa visa hivyo vya #COVID19 vimepungua hadi 693 kwani aliwataka watu wadumishe tahadhari na kufuata taratibu zote juu ya janga la Covid19.
0 Comments