BERNARD PARKER AFIWA NA BABA YAKE
Viongozi wa Kaizer Chiefs wametangaza kwa masikitiko makubwa kuwa Baba wa mchezaji wa klabuni hapo Bernard Parker, Bwana Andrew Parker amefariki dunia.
“Tumehuzunika kutangaza kwamba Bernard Parker amempoteza baba yake mpendwa, Andrew Parker"
"Mawazo yetu na maombi yanamwendea Bernard na familia yake wakati huu mgumu."---- KAIZER CHIEFS
#RIPAndrewParker🙏
Post a Comment