WALIMU 677 WAPANDA MADARAJA MISUNGWI
Walimu 677 Misungwi wapanda madaraja ‘Mhe. Rais walimu wenye sifa waliopandishwa madaraja hapa Misungwi ni 677 na waliobakia ni 36 tu na tutahakikisha mpaka Tar 17 wote watakuwa wameshaingizwa kwenye mfumo ili kukamilisha idadi yiye ya Wlaimj wenye sifa kupanda madaraja katika Halmashauri ya Misungwi'-----> Ummy Mwalimu
Post a Comment