BADO TUNAENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MISUNGWI

‘ Mhe. Rais kazi ya kutatua changamoto za wananchi wa Misungwi inaendelea na katika kukabiliana na uhaba wa madarasa toka Umeapishwa Mhe. Rais umeshatoa shilingi Bil 1.2 kwa ajili ya miundobinu ya Elimu na tunaleta tena shilingi Mil 850 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya shule za Msingi na Sekondari Misungwi’ .

-----> Ummy Mwalimu Waziri wa TAMISEMI, Jana kwenye Kwenye Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Mwanza.

No comments