URENO WALIKOSA MAJIBU SAHIHI-GEORGE AMBANGILE
Ureno walikosa majibu sahihi kwa wingabacks wawili wa Ujerumani Robin Gosens na Joshua Kimmich
Mfumo wa 3-4-3 ( ambao unaweza kuwa 3-4-2-1 ) ni hatari sana kama ukitumika vizuri na ndio Ujerumani leo walivyocheza kwa ufanisi wa hali ya juu . Kivipi ??
Wakiwa wanashambulia wanakuwa katika shape ya 3-2-5 ambapo katika phase ya 3 wanatengeneza idadi kubwa ya wachezaji katika kila upande ( overloads in a third phase ) yani wakiwa wamekaribia goli . Hiyo moja , mbili wingback na wingback wanabadilishana mipira au wanapasiana wao ( switch play ) . Tatu wakiwa wanatoka nyuma wanakuwa na shape ya 3-2 ( mabeki watatu wa nyuma na viungo wawili - Gundo na Toni ) ngumu kuwafanyia pressing kwasababu wapo wengi na njia za pasi zipo nyingi .
kutokuwa na namba 9 halisi imewapa pia faida Ujerumani , maana yake Gnabry, Havertz na Muller walikuwa wanabadilishana nafasi , hawakai sehemu moja . Hiyo inawatoa kwenye nafasi zao halisi mabeki wa kati wa Ureno na ndio maana ilikuwa zikipigwa krosi Pepe na Dias wanachelewa kufika kwenye penalty box .
Fernando Santos , bado hajapata somo . Baada ya Renato Sanches kuonesha kiwango bora mechi ya kwanza nilitegemea leo ataanza na alivyoingia kabadilisha mchezo . Ureno wa viungo wengi technical lakini Renato ana sifa za kipekee tofauti na hao wengi. Uwezo wake wa kuvunja mstari wa kiungo wa timu pinzani kwa kukimbia na mpira ni hatari sana .
NOTE
Joshua Kimmich anaweza kutawala mechi akicheza kama namba 6 , na pia anaweza kutengeneza nafasi nyingi akicheza kama beki wa kulia na pia kama wingback .....hiyo ndio maaana halisi ya GENERATIONAL TALENT . Huyu kijana ni Worldclass.

Post a Comment