Ibada njema huanzia nyumbani...Neema na mafanikio yetu yapo mikononi mwao (Mama na mtoto).Huzuni na vilio vyao ni laana kwetu...😭😭.Maombi yetu ni bure kwa ukatili kama huu.Tujifunze.Ibada ni upendo kuanzia Nyumbani hadi kanisani kwa Mungu.
Post a Comment