• HOME
  • BREAKING NEWS
  • TAMTHILIA
  • MICHEZO
  • MATANGAZO
  • CONTACT US

BINAGO BLOG

  • Home
  • Home / Habari / TIMU YA (GST) YAANZA KUFANYA UCHUNGUZI

    TIMU YA (GST) YAANZA KUFANYA UCHUNGUZI

    Bisaya Raphael June 05, 2021 Habari
    Jana Juni 4, 2021 timu ya wataalam wa Jiosayansi kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeanza kufanya uchunguzi Juu ya chanzo cha tope linalobubujika katika mtaa wa Makoka , kata ya Makuburi jijini Dar es Salaam.

    Wakizungumzia Juu ya kutokea kwa tukio hilo wakazi wa eneo husika wamesema kuwa , hali hii ya kububujika kwa tope unazaidi ya miezi sita sasa na ulianza kidogokidogo ambapo mpaka watu si chini ya sita walitumbukia na kuokolewa na majirani.

    Kulingana na Maelezo ya wakazi wa eneo, wamefafanua kuwa hali hii ya kububujika kwa tope inaongezeka sana katika msimu wa mvua hivyo kusababisha barabara hii kupitika Kwa mashaka sana.

    Timu ya wataalam wa *GST* inaendelea kufanya uchunguzi ili kujua nini hasa chanzo cha tope hilo.

    Related Posts

    Habari

    Post a Comment

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    KWA SHEREHE NA SEMINA KARIBU UKUMBI WA LAKE TANGANYIKA, NZEGA-TABORA

    FOOTBALL STORIES

    Follow us

    • Like on Facebook
    • Follow on Twitter
    • Follow on Instagram
    • Subscribe on Youtube

    Popular Posts

    • kusuka na unyoaji katika Biblia
      kusuka na unyoaji katika Biblia
       KAMA MUNGU ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAWAKE ! NDIVYO ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAUME PIA. BWANA YESU asifiwe!😅 Maranatha!😅🙏🏻 N...
    • Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      *https://youtu.be/-P4s8sVq31o* 🤔🤔🤔🤔🤔 *JE NI HALALI KWA MKRISTO KULIPA MAHARI ILI AOE?????* 🤔🤔🤔🤔🤔 . . . Hebu tutazame k...
    • HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      KANISA LA #SDA LINA MISINGI 28 AMBAYO NI 1.Neno la Mungu 2.Utatu mtakatifu 3.Mungu baba 4.Mungu mwana 5.Roho mtakatifu 6.Uumbaji...

    Labels

    Habari MICHEZO Live injili Tamthilia Kesha la Asubuhi BREAKING NEWS magazeti Matangazo Covid19 Mastaa Viongozi today's quote Lesoni leo Wimbo wa Leo barikiwa Je Wajua? KULFI Bongo Movies Stories TETESI ZA USAJILI

    Facebook

    Created By SoraTemplates | Distributed By Gooyaabi Templates