Coca-Cola ni wadhamini rasmi wa Euro 2020 na wamekuwa wakiweka chupa mbili za soda zao mbele ya kila anayeongea kwenye mikutano ya waandishi wa habari kwenye mashindano hayo.
Lakini katika mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa Hungary na Ureno uliofanyika jana, Ronaldo alifanya tukio lililogonga vichwa vya habari dunia nzima.
Ronaldo aliokota chupa zilizokuwa mbele yake na kuziweka pembeni ili zisionekane, halafu akashika chupa ya maji na kusema: "Kunywa maji".
Kwa kitendo hicho, thamani ya hisa za Coca Cola zimeshuka thamani kwa asilimia 1.6 ambazo ni sawa na dola za Marekani bilioni 5.2.
Kabla ya tukio hilo, thamani ya hisa moja ya Coca-Cola ilikuwa dola 73.02 lakini baada ya tukio lile, thamani ikashuka hadi dola 71.85 kwa hisa moja.

-----> Amesema hayo Zakazakazi Msemaji mku7 wa Klabu ya Azam FC.
0 Comments