RAY AMUOMBA SAMIA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WASANII
RAY;
Mh Rais tunaomba sana serikali yako sikivu iweze kutusaidia katika changamoto hizi
1. Kupunguza kodi ya "withholding tax" kutoka 15% kuwa 5% kama kwa sekta nyingine za huduma.
2 .Copy right na Pirate's
Mh rais ,moja ya eneo ambalo kama wasanii hasa sisi wa bongo movies tumekuwa tunaibiwa sana na kuumizwa ni juu ya haki miliki zetu na wizi wa kazi zetu(Pillates) ambao kwa muda mrefu umekuwa ukifanyika na sasa imezoeleka na limekuwa kana kwamba hili ni jambo la kawaida tu.
3. Mrahaba kwenye kazi za Filamu
Mh rais tunakupongeza sana kwa hatua uliyoiahidi kwa wenzetu wa Muziki kuhusu malipo ya mirahaba ifikapo december 2021. Aidha naomba nasisi wa kwenye tasnia ya filamu utaratibu huu upanuliwe zaidi kwani kazi zetu pia zimekuwa zinatumika katika vibanda umiza!mabasi,mahotelin, saloon na nk.
4. Kodi ya Ongezeko la thaman (VAT). Tunaomba ipunguzwe kwenye kazi za sanaa hasa filamu ili iwe angalau 10% au 5%
5.uruhusu Matangazo kwenye tamthilia zetu zinazoruka kwenye Paytv ili kukuza kipato chetu. Miaka ya hivi karibuni tulizuilwa.
Tunakuomba mh Rais na Serikali yako sikivu kutusaidia kutatua changamoto hizi kwa kuanzia na tupo tayari kutoa ushirikiano kama Wasanii🙏

Post a Comment