Advertisement

Responsive Advertisement

LENGAI OLE SABAYA AFIKISHWA MAHAKAMANI MUDA HUU

Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake wamefikishwa kwa mara nyingine tena katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kujibu mashtaka yanayowakabili.

Kwa mara ya kwanza Sabaya na wenzake walifikishwa mahakamani hapo tarehe 4 mwezi huu na kusomewa mashtaka matano ambayo ni pamoja na uhujumu uchumi, kuongoza magenge ya uhalifu na kushawishi na kupokea rushwa.

Binago tuko hapa kuhakikisha kila linaloendelea linakufikia kwa muda muafaka


Post a Comment

0 Comments