JOE BIDEN AWEKA MIKAKATI NA SCHUMER

"Leo, Kiongozi wa Wengi wa Seneti Schumer na mimi tulifanya maongezi kwa njia ya simu kuweka mpango wetu wakimkakati wa hivi karibuni juu ya kupata Sheria ya Watu kwenye meza yangu."

"Wanademokrasia wameungana na wamejitolea kupitisha sheria hii ya kihistoria kulinda haki za kupiga kura, kuhakikisha uadilifu wa uchaguzi wetu, na kurekebisha na kuimarisha demokrasia yetu."---@joebiden 

No comments