UFILIPINO WALAZIMISHWA CHANJO

Rais wa Ufilipino ametishia kuagiza kukamatwa kwa Wafilipino wanaokataa chanjo ya COVID-19 na kuwaambia waondoke nchini ikiwa hawatashirikiana na juhudi za kumaliza Ugonjwa huo 

Rais Rodrigo Duterte, alisema katika akiwa Mbashara kwenye TV jana Usiku  kuwa amekasirishwa na watu ambao wanakataa kupata chanjo wakati wa shida ya kiafya kisha kusaidia kueneza coronavirus.

“Usinikosee, kuna mgogoro unaokabiliwa katika nchi hii, kuna dharura ya kitaifa, ikiwa hutaki kupata chanjo, nitakukamata na nitakuchoma  chanjo kwa lazima,"Duterte alisema.

No comments