DKT. MOLLEL AONGOZA BONANZA LA MAZOEZI LEO
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel mapema leo ameongoza Bonanza la mazoezi la uchangiaji damu katika Uwanja wa Michezo wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Dkt. Mollel ametoa rai kwa wananchi kufanya mazoezi mara kwa mara ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza.
Aidha, Dkt. Mollel amesema kuwa damu hainunuliwi wala kuuzwa na kuwataka wananchi kutoa taarifa kwa vyombo husika juu ya watu wanaofanya vitendo hivyo vya uuzaji wa damu na kusisitiza wananchi wajitokeze kwa wingi kuchangia damu ili kiokoa maisha.

Post a Comment