WALIOFIKA BUHIGWE KUMNADI MGOMBEA UBUNGE FELIX
"Waziri wa Nchi ofisi M/Rais Ndugu Suleiman Jafo amefika Leo Kwenye Jimbo la Buhigwe kumnadi mgombea Ubunge Ndugu Felix Kavejuru
na kuwaomba kupiga kuraifikapo tarehe 16/05/2021."
"Lazaro nyalandu amefika Leo kwenye Jimbo la Buhigwe kumnadi Mgombea Ubunge Ndugu Felix Kavejuru na kuwaomba kupiga kura ifikapo tarehe 16/05/2021."
"Katibu wa NEC Siasa na uhusiano wa Kimataifa Ccm Kanali Ngemela Lubinga amefika Leo kwenye Jimbo la Buhigwe kumnadi mgombea
Ubunge Ndugu Felix Kavejuru na kuwaelekeza jinsi ya kupiga kura ifikapo tarehe 16/05/2021."
"Musa Mwakitinya - Mjumbe nec viti vitatu Tanzania Bara amefika Leo kwenye Jimbo la Buhigwe kumnadi mgombea Ubunge Ndugu Felix
Kavejuru na kuwaomba kupiga kuraifikapo tarehe 16/05/2021."
"Assa Makanika Mbunge jimbo la kigoma kaskazini amefika Leo Kwenye Jimbo la Buhigwe kumnadi mgombea Ubunge Ndugu Felix
Kavejuru na kuwaomba kupiga kuraifikapo tarehe 16/05/2021."
"Japhary Kubecha- Mjumbe wa nec UVCCM Taifa amefika Leo kwenye Jimbo la Buhigwe kumnadi mgombea Ubunge Ndugu Felix Kavejuru
Kata ya Bihagu."
Post a Comment