UJUMBE WA RAIS SAMIA KATIKA KIKAO CHA MAAFISA HABARI

"Naona muendelee kuhimizanabumuhimu wa taarifa za kazi zenubkwa umma, yale mazuri au hatabyasiyoridhisha lazima kuwe na
namna ya kutoa taarifa kwa
umma."

"Wasiache mpaka wananchi;wanalalamika na kudai kuelezwa!lililopo Ndio taarifa inatolewa.
Vyenginevyo nawatakia mkutano;mwema na kazi iendelee"

No comments