“Nitoe wito kwa Jamii ya Kitanzania tutunze Wazee iwe amekuzaa au hajakuzaa, tuna kisingizio cha maisha magumu ila naona ni maadili, shughuli ya kuchukua Wazee kuwaweka kwenye nyumba maalum inafanywa na wenzetu wa Magharibi, Serikali itawajengea nyumba ila tuwatunze” Rais SSH
Post a Comment