SEKRETALIETI KUSIMAMIA MIFUMO YA KIELETLONIKI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameziagiza Sekretarieti za Mikoa kuahkikisha zinashauri na kusimamia matumizi ya miifumo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa katika suala zima la ukusanyaji wa mapato ya ndani
Ametoa agizo hilo leo kwenye ziara ya kikazi Mkoani Shinyanga yenye lengo la kuongea na Sekretarieti ya Mkoa, kamati ya Fedha na kukagua miradi ya afya, elimu na miundombinu ya barabara mkoani hapo
Waziri Ummy ameziagiza Sekretarieti za Mkoa ndani ya mwezi mmoja uliobaki skuhakikisha wanazisimamia Mamlaka za Serikali za Mitaa ili ziwe kukusanya mapato ya ndani ambayo yatasaidia kupunguza changamoto zawananchi katika sekta ya Afya, Elimu na Miundombinu na kuleta maendeleo kwa jamii.
Amesema kuwa Sekretarieti za Mkoa zinawajibu wa kuhakikisha zinatimiza majukumu yao kikamilifu kwa kuhakikisha zinaweka nguvu nguvu ukusanyaji wa mapato na waongeze nguvu katika suala zima la ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa kuhakikisha mifumo ya kielekroniki inatumika katika Halmashauri zote nchini
“Agenda yangu kubwa ni ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa kuwa Mamlaka za Serikali za Muitaa zote nchini zikikusanya mapato vizuri Serikali itaweza kutekeleza majukumu yake ya kuleta maendeleo kwa wananchi” amesisitiza Waziri Ummyaszsaxsax
Amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha zinaweka Poss mashine katika vituo vya kukusanyia mapato ili kudhibiti mianya ya upotevu mkubwa wa fedha unaofanyika katika vituo hivyo na kuhakikisha mashine hizo zinafanya kazi.
Amewataka Sekretarieti za Mkoa kuhakikisha zinafuatilia na kuhakikisha mashine za POSS zinafanya kazi kwa kuwa nyingi ni feki na hazifanyi kazi hivyo zikifuatiliwa kwa karibu zitagundulika na kufanyiwa marekebisho ili kupunguza mianya ya upotevu wa Fedha za Serikali.
“Kuna upotevu mkubwa wa fedha za Makusnayo ya ndani na fedha nyingi zinapotea katika mikono ya watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa,Sekratarieti hakikisheni mnasimamia ukusanyaji wa mapato ya katika Mamlaka za Seikali za Mitaa kwa kuwa ndilo jukumu lenu l

Post a Comment