Advertisement

Responsive Advertisement

RASHID SEIF KUHUSU PRINCE DUBE

Klabu moja Kutoka ligi kuu ya Afrika Kusini, imeulizia bei ya Prince Dube ndani ya AZAM FC na kuambiwa mchezaji huyo hauzwi.

Klabu hiyo inatafuta mshambuliaji wa kuimarisha eneo lake la ushambuliaji.

Dube amefunga magoli 14 kwenye ligi msimu huu pamoja na kuandamwa na majeraha.

Vipi auzwe?

Post a Comment

0 Comments