Advertisement

Responsive Advertisement

NIMEKUWA KWENYE HARAKATI ZA UKOMBOZI MIAKA MINGI

 “Nimekuwa kwenye harakati za ukombozi wa Afrika na maendeleo kwa miaka karibu sitini sasa, na shida ambazo nimeziona ilikuwa watu, uelekeo hasa tufanye nini, na kitu gani kinastahili kufanyika kusudi tupate ustawi wa jamii.

Waganda wanadai sana huduma za Afya, Elimu, usalama, lakini kuna sehemu hawaelewi vizuri kwamba huwezi kuwa na huduma ambayo ni endelevu bila ya kuwa na uzalishaji wa mali ambao utatupatia utajiri na ajira." Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni.

Post a Comment

0 Comments