EPSODE 5 NA KANKWI WA KANKWI
Kamwe usimtumie vibaya yule anayekupenda, Usiseme kuwa busy kwa yule anayekuhitaji, Kamwe usimdanganye yule anayekuamini, Usisahau kamwe yule ambaye anakukumbuka kila wakati, "Goodmorning
Basi Asubuhi idda akanifuata chumbani kuniamsha ili kuwa huko kwa kuhifadhi kama jina ni langu au limekosea au wewe sio mimi nilikuwa nasikia sanaa ya sanaa nikaamua kukamata nikitisha bajaji nikaenda pale maktaba nikaonana na yule mwenyekiti wa ile sekretareti nikamweleza shida yangu akajaribu kutazama na yeye aliuliza majina yako matatu nani nikamjibu alivyo angalia majina mawili ni sahihi ila ya mwisho sio langu akiuliza utumiaji wa majina gani najibu majibu ambayo ilikuwa kubwa nchini Zambia ni wewe hili jina la mwisho litakua ni Typo basi moyoni nikafurahii sana akamuita sekretari wake akamwambia lile file la Bumbuli lilete jina limekosewa akabadili pale akaniambia njoo kesho kutwa uchukue barua yako ukaripori kazini.
Basii nikatoka pale nikampigia idda akaniambia si unaona nilikwambia mimi watakua walikosea basi nikafurahi nikasema Mungu huyu anamakusudi lkn pia nikajiuliza hivi nisingekuja ingetokea nini nafasi yangu angepewa mwingine Shetani ashindwee na alegee au akakamae nikawa nasubiri kuhifadhi nirudi mtaani akatokea dereva mmoja sasa yupo na STL akanipa sehem moja hivi kunaitwa @ cheer_sandbeers iko Sayansi Kijitonyama hapa kuna chakula na vinywaji maana nilikuwa na njaa sanaa na ndio sehem i feel like home nikiwa mjini naendaga hapo kuchill.
Basi ni kala na kunywa kwa kushangilia ushindi kisha nikarudisha nyumbani.
Nikaanza kuuliza habari za buliuli kulivyo nikaambiwa Dave kwa hali yako inayoweza kukusaidia katika milima mwanzo mwisho kujaribu kwa google nikawa naona mazingiraa mmh yatakuwa changamoto Nilivyofika kuchukua barua hiyo nikamuomba yule bosi nibadilishwa kituo nikae mjini alichonijibu sikuamini nikasema Mungu huyu alisema dave ningekusaidia kama kungekuwa na mtu mwingine ambae amepata nafasi kama yako mngebadilishana ila hamna nafasi ya ustawi wa jamii ilikuwa moja tu Tanzania nzima na ww ndio umepata kwahio nenda karipoti tu ukikaa baada ya mda omba uhamisho daaah nikasema hamna shida basi tukaja bumbuli mimi idda na mume wake.
Post a Comment