Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc na timu ya taifa ya Zambia Clatous Chama amefiwa na mkewe huko nchini Zambia.Uongozi mzima ikiwemo washabiki na wapenzi wote wa klabu ya Simba Mungu awatie nguvu.
Post a Comment