ARSENAL WAAMUA KUMSAJIRI CAMAVINGA

Arsenal wanafanya kila wawezalo kumsajili Eduardo Camavinga & wamefanya mtoto wa miaka 18 kuwa kipaumbele chao cha majira ya joto kulingana na le10sport.

No comments