Advertisement

Responsive Advertisement

TSHABALALA AONGEZA KANDARASI MSIMBAZI

Beki wa kushoto wa Simba SC, Mohamed Hussein ameongeza mkataba mpya wa kusalia msmbazi kwa miaka 3 
Inasemekana Tshabalala amelamba milioni 60 ya kusaini (signing fee) na atakua analipwa mshahara wa milionib10 kwa mwezi

Post a Comment

0 Comments