Taarifa mbaya kwa mashabiki wa Simba ni kwamba Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia klabu hiyo kusajili kwa kipindi kimoja kijacho cha usajiliNyundo hiyo ya FIFA imekuja kufuatia shirikisho hilo kuikuta na hatia Simba kutokana na kushindwa kumalizana na beki wao wa zamani, Mghana Asante Kwasi
Taarifa kutoka nchini Ghana zinasema adhabu hiyo kwa Simba itaanza kufanya kazi katika dirisha lijalo la usajili
Credit: mwanaspoti
0 Comments