”Wenzetu wameendelea kwenye mambo mengi, kwa hiyo baada ya kuwa wapo kule wameangalia Klabu gani wanaweza kufanya nao ushirikiano, sababu walipokuwa kule walikutana na Namungo FC walizungumza na watu wa Namungo kwa Namngo pia wameingia ushirikiano"
”Raja Casablanca wakaona hapana tujiongeze, kwa hiyo wakajiongeza kuja kwa Mabingwa wa historia, timu ambayo ina historia kubwa kwa wao wanaamini kuna jambo kubwa watajifunza kupitia Yanga lakini pia na sisi kuna vitu vingi tutajifunza kupitia wao.”
Hassan Bumbuli
-Afisa Habari wa Yanga SC
0 Comments