Sheikh Mansour wa Manchester City, ndiye tajiri zaidi kuliko wa wamiliki wote wa klabu akiwa na utajiri wa dola bilioni 30, akifuatiwa na mmiliki wa RB Leipzig/ Red Bull Salzburg, Dietrich Mateschitz ambaye ana utajiri wa dola bilioni 26.9.