"Mohamed Hussein ni kama mwanangu nimemlea mimi kaishia darasa la saba akiumwa, mavazi, chakula na Malazi kila kitu najua mimi. Sisi masikini tunataka kuendesha maisha yetu kwa vipaji,elimu ya masikini ni kipaji chake .Simba ni wazito kuwalipa wachezaji wazawa badala yake wanawafanya watumwa.">>Maneno ya Heri Mzozo -Meneja wa Tshabalala
0 Comments