Advertisement

Responsive Advertisement

NINJA ALICHEZA DHIDI YA AZAM FC AKIWA NA TAARIFA YA KIFO CHA DADA YAKE

Taarifa zinasema Beki wa Yanga SC yangasc Abdalaah Shaibu 'Ninja' alicheza mechi dhidi ya Azam FC azamfcofficial akiwa na taarifa ya msiba wa dada yake anaemfatia. 

Habari hizo alipewa muda mfupi kabla ya mechi hiyo ngumu na kubwa. 

Pamoja na msiba wa dada yake lakini Ninja alionyesha kiwango cha hali ya juu sana ambacho usingeweza kuamini kwamba alikuwa na msiba wa ndugu wa damu.

Hongera na pole sana Abdallah Shaibu 'Ninja'

Post a Comment

0 Comments