Advertisement

Responsive Advertisement

BARBARA: KUZUNGUMZIA MIKATABA YA WACHEZAJI SIO KIPAUMBELE CHETU

“ kuchukua muda mwingi kwa sasa kuzungumzia mikataba ya wachezaji sidhani kama ni kipaumbele chetu kiutendaji. Kama timu kama klabu , tumejifunga mkanda kwa sasa kuhakikisha timu yetu inafanya vyema ligi kuu kwa kunyakua Ubingwa , FA na klabu bingwa Afrika . 

Kila kitu ni muhimu lakini kwa sasa walaji wetu wa habari ni lazima watambue tuna focus kwenye hizo priorities tatu. 

Si kwamba mambo mengine si muhimu, klabu yetu ni kubwa na ina namna mbalimbali za kufanya kazi kulinda masilahi ya timu na klabu hivyo wanasimba na wadau wanaoitakia mema Simba SC wafahamu hilo kwa upana wake. “ - Barbara Gonzalez, CEO Simba SC

Post a Comment

0 Comments