Advertisement

Responsive Advertisement

WAKALA WA WACHEZAJI WAWILI, TUISILA KISINDA NA MUKOKO TONOMBE ATHIBITISHA KUPOKEA ZAIDI YA OFA TANO ZINAZOWAITAJI NYOTA HAO

Wakala wa wachezaji Tonombe Mukoko na Tuisila Kisinda, Nestroy Mukwale, amethibitisha kwamba amepokea jumla ya ofa tano zinazowahitaji nyota hao wanaoitumikia klabu ya Yanga. 

Akiongea na #Kipenga ya #EastAfricaRadio Mukwale amesema kati ya ofa hizo tatu zinahitaji huduma ya Mukoko na mbili Tuisila. Amesema ni suala la Yanga tu kuamua kufanya biashara au kubaki nao.

Post a Comment

0 Comments