Advertisement

Responsive Advertisement

SAID JUNIOR APACHIKA GOLI TANO KATIKA USHINDI WA 7 - 1 DHIDI YA ZAFRA FC

Said Junior 🇹🇿 apachika goli tano katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Zafra FC na kufikisha jumla ya magoli 20 katika Ligi Kuu ya U-21 katika Falme za Kiarabu.

Said anacheza Baniyas na amekuwa na msimu mzuri sana toka awasili katika Klabu hiyo na sasa anaongoza katika orodha ya wafungaji akifunga magoli 20 na anayemfuatia akiwa na magoli 15 bado game mmoja tu msimu kuisha.

Post a Comment

0 Comments