Lionel Messi jana alifunga magoli mawili katika ushindi wa Barcelona wa 5-2 dhidi ya Getafe, goli la tano la Barcelona lilifungwa na Griezmann dakika ya 93 kwa mkwaju wa penati
Messi akaendeleza kuonesha yeye sio mbinafsi licha ya kuwa ndio mpigaji penati wa timu na alikuwa na uwezo wa kuamua kupiga na kufunga hat-trick katika mchezo huo lakini aliamua kumpa penati Griezmann bila kujali kuwa anaweza ongeza rekodi ya hat-trick zake LaLiga
Huu moyo ni mchezaji gani bongo unahisi anaweza kuwa nao?"
0 Comments