Advertisement

Responsive Advertisement

RC MNDEME: TANESCO MKINIZINGUA TUTAZINGUANA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bi. Christina Mndeme ameitaka TANESCO mkoa huo kutokuwa chanzo cha kikwazo cha wananchi kupata maji safi na salama baada ya mradi wa muda mrefu ambao upo katika halmashauli ya Madaba kukamilika lakini kikwazo kipo katika shirika hilo kupeleka umeme ili wananchi wa Halmashauli hiyo waondokane na kero kubwa ya maji ambayo wanaipata."

Post a Comment

0 Comments