Advertisement

Responsive Advertisement

NA NTAWIHA RAPHAEL "NTIBANZOKIZA

"Team haina ttzo lolote ila Ntibanzokiza anataka kujitengenezea ufalme ndani ya Yanga sc na kuona yeye hapaswi kuanzia bench. Kuhusu Kaseke ye kma mmoja ya wachezaji waandamizi wa Yanga sc amechukizwa na kitendo cha bench la ufundi kutaka kumnyenyekea Ntibazonkiza na wakijuwa kuwa nae ni sehem ya wachezaji.

Hii haina afya kwa baadhi ya wachezaji kwani leo ilikua ni cku muhimu kwao kwakua jukwaani kuna Kocha mpya na anaondoka na image aliyo ishuhudia uwanjani leo.

Aliye jituma ataendelea kupewa nafasi hta kma hko nyuma hakufanya vzr na alieonyesha kutofata maelekezo ikiwa pa1 na utovu wa nidhamu ana dalili za kusotea bench,"

Kutoka kwa Mr. Program.

Post a Comment

0 Comments