Advertisement

Responsive Advertisement

MWAMBUSI: ALICHOKIFANYA NTIBAZONKIZA DHIDI YA GWAMBINA, NI KUTOKANA NA FURAHA TUU

Kaimu Kocha wa Yanga Juma Mwambusi amesema kitendo alichofanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha ya kufunga goli kwa sababu hakufunga katika mechi mbili zilizopita.

“Ntibazonkiza alikuwa anafurahia kupata goli kwa sababu mechi mbili zimepita alitoka bila kufunga goli”-Juma Mwambusi.

Post a Comment

0 Comments