Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS WA JUVENTUS ANDREA AGNELLI AACHIA NGAZI

ANDREA Agnelli ambaye ni rais wa Klabu ya Juventus ameripotiwa kujiuzulu wadhifa huo.
Uamuzi huo umehusishwa na kitendo chake cha kuunga mkono ujio wa michuano mipya ya European Super Cup.

Kabla ya taarifa hii, tayari Agnelli alishaachia ngazi katika nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za soka za Ulaya (ECA).

Post a Comment

0 Comments