Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS SAMIA: NAKUSUDIA KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA KISIASA ILI KUENDESHA SHUGHULI ZA KISIASA ZENYE TIJA

"Vile vile katika kulinda Uhuru na Demokrasia,
nakusudia kukutana na viongozi wa vyama vya siasa Tanzania ili kwa pamoja tuweke mwelekeo wa kuendesha shughuli za kisiasa zenye tija na maslahi kwa nchi yetu" - Rais @samia_suluhu_hassan

"Hata hivyo hakuna uhuru wa kidemokrasia
usiolindwa na kusimamiwa na sheria taratibu na
kanuni, hivyo pamoja na Demokrasia na Uhuru wa
watu, niwaombe Watanzania tujidhatiti kufanya
shughuli zetu tukizingatia masharti ya sheria za nchi" -Rais @samia_suluhu_hassa

Post a Comment

0 Comments