Advertisement

Responsive Advertisement

MKATABA WA MWAKA MMOJA NA NUSU UNAMTOSHA KWA KOCHA NASRREDINE NABI KUITUMIKIA YANGA SC

Klabu ya Yanga imemtangaza Nasreddine Al Nabi kuwa Kocha wake Mkuu baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu
Baada ya kutambulishwa kocha Nasreddine amesema yeye ni kocha anayependa kwenda moja kwa moja nasio kupinda pinda
yangasc

Post a Comment

0 Comments