" Kwenye Ile Taarifa inaonyesha Deni lenyewe Asante Kwasi anadai ni Shilingi Milioni 9, Hivi Kweli Klabu ilishindwa kulipa Milioni 9"
"Viongozi wa Simba Wametuzimia Simu, Tunawapigia Simu watolee Ufafanuzi juu ya Hili wengine hawapokei, Sasa inapotokea sintofahamu na sisi tunahitaji Ufafanuzi Wanataka tumtafute Nani"
"Mimi Naona Muhimu hapa C.E.O wa klabu atoke atufafanulie Juu ya Hili Linaloendelea,"
Maulid Kitenge
Mtangazaji Kupitia Sports Arena ya Wasafi FM
#SportsARENA
0 Comments