Kwa mujibu wa Nyota wa muziki Barani Afrika @diamondplatnumz video ya wimbo wake wa #WAAH! aliomshirikisha Legend wa muziki Afrika @koffiolomide_officiel iliingiza zaidi ya Tsh. Milioni 89 lipofikisha watazamaji Milioni 39 katika Mtandao wa YouTube
Mpaka sasa video ya wimbo huo inawatazamaji zaidi ya Milioni 60 ikiwa ni miezi 4 tu sasa tangu iachiwe rasmi November 30, 2020
Diamond ameyaeleza hayo leo wakati akitoa somo kuhusu mauzo ya muziki mtandaoni kupitia ukurasa wake wa instagram
0 Comments