Raha wanayoipata Watakatifu kule MBINGUNI

😍😍🥰🥰 *HEBU LEO TUUFAHAMU UTAMU WANAO UPATA WATAKATIFU WA MUNGU* 😘😘😍🥰 
.
Wana Raha saaana wale watu wanapo kaa katika pendo la BWANA WAO YESU KRISTO 
Yohana 15:9-10
[9]Kama vile Baba alivyonipenda mimi, nami nilivyowapenda ninyi, kaeni katika pendo langu.
[10]Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama vile mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.
🤔🤔🤔🤔
Je, ww uu mmoja wao?? Tafadhali twendelee kusoma🤔🤔🤔
.
katika pendo hilo ambalo ndiyo kuitii sheria takatifu ya MUNGU ukisoma Warumi 13:8-10 """"" msiwiwe na mtu chochote, isipokuwa kupendana; kwa maana ampendaye mwenzake ametimiza sheria maana kule kusema, usizini, usiue, usiibe, usitamani; na ikiwapo amri nyingine yoyote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, mpenda jirani yako kama nafsi yako. Pendo halimfanyii jirani neno baya, basi pendo ndilo utimilifu wa sheria.
.
Wengi wanasema wanampenda YESU KRISTO. lakini wengi wao hawajatimiza sharti hili ambalo YESU KRISTO aliwapa akisema 👉👉""""" mkinipenda, mtazishika amri zangu""""" yohana 14:15 👈👈👈👆👆👆 je, unatii amri kumi za MUNGU??? Maana hiyo ndiyo sifa ya Watakatifu wake MUNGU, nje ya hapo hao ni watakafujo wa yule asi maana imeandikwa 👇👇
👇👇👇👇👇
"""" hapa ndipo penye subila ya watakatifu, hao wazishikao amri za MUNGU na imani ya YESU """" ufunuo 14:12
.
Na yule asi (shetani) anafanya vita na hao wanao shika amri za MUNGU na imani ya YESU ukisoma ufunuo 12;17
.
.
🤔🤔🤔🤔 ajabu ni kwamba wanasijikia raha sana wanapo ikumbuka na kuitii moja kati ya amri kumi za MUNGU ile ya """ ikumbuke siku ya sabato na uitakase"""" kutoka 20:8 
👇👇👇👇 
🤔🤔🤔🤔 Kwanini wanapata raha???? Hii ni kwasababu MUNGU mwenyewe alisema
.👉👉👉👉👉👉"""""imesalia raha ya sabato kwa watu wa MUNGU """"" ukisoma waebrania 4:9 
.
natamani sana nami nipate raha katika siku hiyo takatifu ya MUNGU maana ufunuo 1:10 imeandikwa """" nalikuwa katika ROHO SIKU YA BWANA..........""" pia waweza soma isaya 58:13

😭😭😭😭😭 Na nahuzunika sana kwakuona watu wanaishi kimwili tu. wanaona kama siku zote ni sawa 😭😭😭 lakini katika ROHO tunaona sio zote ni sawa na siku hiyo inamaana kubwa sana kwetu wanadam japo tunaishi kimwili ndiyo maana hatuielewi maana ya siku hiyo.
.
Watu wa MUNGU wanajisikia RAHA sana wanapo kaa katika pendo la KRISTO 👇👇👇👇👇 na anapo waburudisha katika sabato yake takatifu.
.
Lakini wito ulitolewa na unatolewa na utatolewa kwa kila mwanadam kuwa """""""" kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi, bali mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga, kwa maana kinywa cha BWANA kimenena maneno haya""""" isaya 1:19,20
.
RAHA SANA KUKAA KATIKA PENDO LA YESU KRISTO KATIKA KUTEMBEA KATIKA AMRI ZAKE. Zaidi ya raha wanayopata vifaranga hawa kwa mama yako 👇👇👇👇👇👇👇👇👇 basi nakutakia utii mwema wa amri kumi za MUNGU ikiwemo amri ya kuikumbuka siku ya sabato na kumwamini YESU KRISTO kama BWANA na mwokozi wa maisha yako


*sambaza kwa wengine tafadhali ili nao wapate utamu hu ambao watakatifu wa MUNGU wanaupata* 🙏🙏 🙏💖 💖 💖😍 💖😍 💖😍 🙏🙏

No comments