YANGA YAFUNGIWA KUSAJIRI MISIMU 3
FIFA WAMEIFUNGIA YANGA SC MISIMU 3
FIFA wameifungia club ya yanga Sc kutokufanya usajili kwa misimu mitatu mfululizo na hii ni kufuatia sakata la Amisi Tambwe kutokulipwa malimbikizo ya pesa zake za usajili pamoja na mishahara.
Kama ulikuwa haufahamu kuhusu sakata la Tambwe basi ipo hivi ...!
• Amisi Tambwe alikuwa anaidai Yanga Sc 41 Million kwenye usajili wake kabla hajaondoka kwenye klabu hiyo na baada ya Tambwe kuondoka Amisi Tambwe alienda kuishtaki klabu ya Yanga Sc, FIFA .
• FIFA waliiamuru Yanga Sc kumlipa Tambwe Milioni 44, mwisho wa siku Yanga Sc walishindwa kumlipa Tambwe na sasa FIFA wameifungia Yanga Sc kufanya usajili.
#BinagoUPDATES
Post a Comment