NINI MAONI YAKO? ✍
• Mbunge Kimei; Tatizo kubwa kwenye uchumi tunaojenga ni ukosefu wa stadi za ufundi kufanya vitu kwa mikono, elimu yetu inalenga kuhitimu Chuo kikuu, elimu yetu inapaswa kulenga elimu za ufundi kujifunza kazi na stadi za mikono
• Mbunge Musukuma; Naunga mkono anachosema Mbunge Kimei, tuache kuamini "ma-degree" na "ma-PhD", duniani kote matajiri wengi hawana "Degree"
• Spika Ndugai; Mhe. Kime ana hoja ya msingi sana, hii habari ya wanafunzi wanaenda Chuo kikuu kusoma vitu vya ajabu (yako masomo ni kama kumpotezea mtoto "direction"
#BinagoUPDATES
Post a Comment