WAZIRI MSTAAFU DENNIS ARCADO AFARIKI DUNIA MAPEMA LEO HII
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi Feb. 10 2021 Mlonganzila Hospitali alikokua amelazwa.
Mzee Arcado Ntagazwa Aliwahi kuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza,Pili na ya Tatu. Alivuliwa Uraia na baadaye kukata rufaa na kushinda kesi.
#BinagoUPDATES
Post a Comment